skip to Main Content
Simu: +255 653 200 211 | Barua Pepe: info@buhafmradio.co.tz  

Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini ambaye pia ni Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi Prof. Joyce Ndalichako mapema leo amekabidhi Photocopy Machine kwa Shule za Sekondari za Muhunga, Mwibuye, Kasange, Kigodya Murufiti zote za Kasulu mjini kwa lengo la kuleta ufanisi katika shughuli za shule hizo.

Profesa Ndalichako akiwa na mkurugenzi wa halmashauri ya Mji wa Kasulu kabla ya kugawa mashine za kudurufu kwa shule za sekondari

Habari kwa kina itakuijia katika ukurasa huu katika mfumo wa makala hivii karibuni.

Back To Top
Buha FM · Buha FM Radio Sauti Ya Kigoma