skip to Main Content
Simu: +255 653 200 211 | Barua Pepe: info@buhafmradio.co.tz  

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 18, 2023 ameshuhudia uzinduzi wa jezi ya Timu ya mpira wa miguu ya Namungo ya msimu wa 2023/2024. Hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Kassim Majaliwa, Ruangwa, Lindi.

Muonekano wa Jezi mpya za Namungo ambazo zitatumika katika msimu wa 2023/2024
Back To Top
Buha FM · Buha FM Radio Sauti Ya Kigoma