skip to Main Content
Simu: +255 653 200 211 | Barua Pepe: info@buhafmradio.co.tz  

Ujenzi wa Jengo la Matangazo kwa ajili ya kituo kipya tarajiwa cha BUHA FM RADIO ambayo awali ilitarajiwa kuitwa Kasulu FM umefikia hatua nzuri kuelekea kukamilika.

Mwasisi wa Kituo hicho tarajiwa na mwenyekiti wa shirika la OHIDE Tanzania na pia Mwenyekiti wa Mtandao wa Radio za Kijamii Tanzania Ndg. Prosper Kwigize amebainisha kuwa, mitambo itafungwa hivi karibuni na kwamba hatua za leseni zinaelekea kukamilika.

anawataka wananchi wa mkoa wa Kigoma kuwa na subira wakati shirika la OHIDE pamoja na wadau wake wakikamilisha taratibu za kisheria kuanzishwa kwa Radio hiyo yenye jina linaloutangaza uasilia wa mkoa wa Kigoma.

Back To Top
Buha FM · Buha FM Radio Sauti Ya Kigoma