Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:…
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amekubali pendekezo la kuongeza watumishi viwango vya mishahara ili kuwawezesha kumudu changamoto za maisha pamoja na madaraja ya vyeo kwa watumishi
Taarifa kutoka Idara ya mawasiliano ya Rais -Ikulu imebainsha kuwa Rais baada ya kupokea mapendekezo kutoka kwa wadau ambayo yalichakatwa na wizara mbalimbali chini ya ofisi ya Waziri mkuu Kassim Majaliwa, amekubali nyongeza kwa kiwango cha asilimia 23.3%
Soma zaidi hapa chini
