WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua jengo la wagonjwa wa dharura kwenye hospitali ya wilaya ya…
Sisi wadau wa maendeleo na wanahabari katika shirika la maendeleo, utu na uwekezaji (OHIDE) tunakupongeza sana mama yetu kwa kuapishwa na kuanza kazi ya kuongoza nchi yetu kwa nafasi mpya ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Watanzania tuna Imani Kubwa na wewe na nii matumaini yetu kuwa tutaendeleo kukua kiuchumi, kijamii, kiutamaduni, kisiasa na kudumisha ulinzi na usalama
Pongezi nyingi kwa kuwa rais wa kwanza mwanamke Tanzania na Afrika Mashariki