skip to Main Content
Simu: +255 653 200 211 | Barua Pepe: info@buhafmradio.co.tz  

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mapema leo ameondoka nchini kuelekea nchini Urusi ambapo pamoja na mambo mengine atamwakilisha Rais Dr. Samia katika mkutano wa wakuu wa nchi wa mataifa ya afrika pamoja na serikali ya Urusi

Pichani ni Waziri Mkuu Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh. Tabia Maulid Mwita, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, wakati alipoondoka nchini kwenda Urusi ambapo atamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa Pili wa Kilele baina ya Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi.

Back To Top
Buha FM · Buha FM Radio Sauti Ya Kigoma