Na. Irene Bwire -PMO na Anita Balingilaki Buha - Simiyu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka…
Tanzania itafanya Uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais tarehe 28 October, 2020; Hii ni fursa adhimu kwa taifa kuwapa nafasi raia wake wenye sifa kupiga kura na kuchagua viongozi wake.
Shirika la kiraia la Maendeleo, Utu na uwekezaji OHIDE ambayo ni mwasisi wa kituo kitarajiwa cha Radio cha BUHA FM tunawatakia watanzania umakini na uchaguzi mwema wa viongozi kwa maslahi ya taifa na watanzania wote.
“Sikilizeni Sera, chambueni Ilani, sikilizeni vema ahadi, wachambueni wagobea, kisha fanyeni uamuzi sahihi, na msikubali kuongwa au kununuliwa maana kwa kufanya hivyo mtachagua viongozi wasiofaa na matarajio ya maendeleo hayatafikiwa” anasema Silesi malli mwenyekiti wa OHIDE.