UCHAMBUZI WA NATIJA NA RAJUA Anaaandika Ahmad Sovu PhD Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-kazi iendelee…
Aliyekuwa Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Makongo inayomilikiwa na Jeshi la wananchi, na mchezaji wa soka aliyevuma katika shule za sekondari Bongwe wilayani Kasulu na baadaye Gombe High School, Gerwin Prosper amesajiliwa katika timu ya chuo cha mpira cha Eigle Noir football academycha nchini Burundi kwa miaka mitatu.