WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua jengo la wagonjwa wa dharura kwenye hospitali ya wilaya ya…
Kwa hisani ya UNESCO na Serikali ya Uswiss Radio za Kijamii Tanzania zinajengewa uwezo kwa kupatiwa mafunzo ya Mawasiliano na kujitangaza. Hawa ni wawakilishi toka Mtwara, Lindi, Morogoro na Dodoma. Mwasisi wa Buha FM Radio Ndugu Prosper Kwigize na Bi. Rose Haji waliaminiwa kwa mwaka mzima kutoa mafunzo hayo darasani na kazini. Kuanzishwa kwa Buha FM kutausaidia sana mkoa wa Kigoma na jamii kupata habari chanya kwa ajili ya maisha chanya