UCHAMBUZI WA NATIJA NA RAJUA Anaaandika Ahmad Sovu PhD Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-kazi iendelee…
Klabu kongwe ya Soka nchini Tanzania Yanga ambao ni watani wa jadi wa Timu ya Simba inatafuta michango ya pesa kutoka kwa wanachama kwa ajili ya usajili wa wachezaji
Wakati Uongozi wa Yanga ukiomba wanachama kuchangia pesa ili kupata wachezaji wapya wazuri, wadau wa soka nchini wanahoji uhalali wa viongozi wa Yanga kuomba michango kwa wananchi wakati timu ina mdhamini wake ambaye ni GSM
Je wewe una maoni gani, hii inaongeza ushiriki wa wananchi au inapunguza uaminifu? peleka maoni yako katika kurasa zetu za facebook, Instagram na twitter