skip to Main Content
Simu: +255 653 200 211 | Barua Pepe: info@buhafmradio.co.tz  

Wakati vikao vya Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania vikiendelea jijini Dodoma, Macho na masikio ya jamii pamoja na wanataaluma yako huko ili kusikia nini kinapangwa katika kapu la kila wizara kuelekea kutekeleza mipango ya maendeleo ya Kisekta.

Waziri wa Wizara ya habarii, utamaduni, sanaa na michezo, Innocent Bashungwa tayarii amewasilisha makadilio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2021/2022 ambapo pamoja na mambo mengine ameelezea dhamira ya kupanua wigo wa upashanaji wa habari nchini.

Aidha Bashungwa amebainisha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazothamini mchango wa vyombo vya habarii na kueleza kuwa serikali imekuwa ikitoa nafasi za ongezeko la vyombo hivyo hususani magazeti, Runinga na radio na hivyo kuirahisishia jamii fursa za kupata na kutoa habari.

Bofya hapa ili uisome bajetii nzima.

OHIDE Tanzania na kituoo kipya tarajiwa cha BUHA FM RADIO tunampengeza mheshimiwa waziri pamoja na BUnge kwa kupitisha bajeti hiyo.

Back To Top
Buha FM · Buha FM Radio Sauti Ya Kigoma