Na. Irene Bwire -PMO na Anita Balingilaki Buha - Simiyu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka…
Baada ya mchakato wa mda mrefu uliozingati kanuni na taratibu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Shirika la Maendeleo la OHIDE leo limekamilisha taratibu za uwasilishaji wa maombi ya leseni ya kituo cha redio cha Buha FM Radio kitakachorusha matangazo kutoka wilayani Kasulu mkoani Kigoma

Sikiliza wimbo maalumu wa redio yako tarajiwa ya Buha FM Radio hapo chini. Wimbo huu umeimbwa na Mpoki Mwakamela kutoka Kyela mkoani Mbeya.