Asema ni mpango wa kumtua mama kuni kichwani , Amshukuru Rais Samia Na. Mwandishi wetu…
Mwenyekiti wa asasi ya OHIDE Kasulu ndg. Prosper Kwigize (kulia) na katibu wa OHIDE Bi Silesi Malli (kushoto) Wakiwa katika picha ya Pamoja na Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia Uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Atashasta Nditiye (kati) baada ya kikao kuhusu hatua na taratibu za kukamilisha upatikanaji wa Kibali au leseni ya Kasulu community Radio. Kikao kilifanyika makao makuu ya Wiza Jijini Dodoma
This Post Has 0 Comments