WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua jengo la wagonjwa wa dharura kwenye hospitali ya wilaya ya…
Mwasisi wa shirika la maendeleo na uwekezaji utu OHIDE ndugu Prosper Kwigize anahudhuria mafunzo maalumu ya Uongozi katika vyombo vya habari nchini Tanzania yanayolenga kukuza Utawala bora na usimamizi yakinifu wa Radio kwa ajili ya kuleta matokeo chanya kwa jamii/wasikilizaji.
Mafunzo hayo ya wiki moja yanafanyika Bagamoyo mkoani Pwani na yanatolewa na kampuni ya EMPOWER kwa ufadhili kutoka UNESCO na shirika la maendeleo la Uswiss -SDC.