skip to Main Content
Simu: +255 653 200 211 | Barua Pepe: info@buhafmradio.co.tz  
Buha FM logo

Kutokana na mabadiliko ya kisera ndani ya shirika la OHIDE Tanzania pamoja na mashauriano na wataalamu kutoka TCRA, Jina la Radio yetu ambayo awali ingekuwa Radio Jamii Kasulu sasa itaitwa BUHA FM RADIO na masafa yake yataufikia mkoa mzima wa Kigoma ili kuwapa fursa wananchi kusikiliza, kuchangia mawazo, kushiriki vipindi na kubadilishana mawazo kwa ajili ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma na Tanzania.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza, hata hivyo tufurahi pamoja kwa kuwa badala ya kuwa Radio ya eneo dogo sasa tunalenga kuufikia mkoa wote.

Back To Top
Buha FM · Buha FM Radio Sauti Ya Kigoma